1 Chronicles 5:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, hadi Saleka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Gadi walikuwa wakikaa kwa kuwaelekea, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wagadi waliishi jirani nao katika nchi ya Bashani, mpaka Saleka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Gadi lilipakana na kabila la Reubeni upande wa kaskazini, katika nchi ya Bashani iliyoenea mashariki hadi Saleka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Gadi walikaa ng'ambo yao katika nchi ya Basani mpaka Salka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Gadi walikuwa wakikaa kwa kuwaelekea, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Gadi lilikuwa na mupaka na kabila la Rubeni upande wa kaskazini, katika inchi ya Basani iliyoenea upande wa mashariki mpaka Saleka.