1 Chronicles 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoeli ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa ukoo ulioongoza, wa pili Shafamu. Yanai na Shefati walikuwa waanzilishi wa koo nyingine huko Bashani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoeli ndiye alikuwa mkuu wao, Shafamu wa pili, na wakafuata Yanai na Shafati, huko Bashani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoeli, alikuwa mkuu wao, na wa pili Shafamu, na Yanai, na Shafati, katika Bashani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoeli ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa ukoo ulioongoza, wa pili Shafamu. Yanai na Shefati walikuwa waanzilishi wa koo nyingine huko Bashani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoeli alikuwa ndiye mkuu wao, Shafamu alikuwa wa pili, wakafuata Yanai na Shafati, huko Bashani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoeli ndiye alikuwa mkuu wao, Shafamu wa pili, na wakafuata Yanai na Shafati, huko Bashani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoeli, alikuwa mkuu wao, na wa pili Shafamu, na Yanai, na Shafati, katika Bashani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoeli ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa ukoo ulioongoza, wa pili Shafamu. Yanai na Shefati walikuwa waanzilishi wa koo nyingine huko Bashani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu alikuwa Yoeli, naye wa pili Safamu, tena Yanai na Safati wa huko Basani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoeli, alikuwa mkuu wao, na wa pili Shafamu, na Yanai, na Shafati, katika Bashani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pale kulikuwa ukoo za: Yoeli, uliokuwa ukoo mukubwa zaidi; Safamu, ndio wa pili; Yanai; na Sefati kule Basani.