1 Chronicles 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zao, kulingana na jamaa zao, walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu zao wa mbari za baba zao; Mikaeli, na Meshulamu, na Sheba, na Yorai, na Yakani, na Zia, na Eberi, watu saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu zao wa koo za baba zao; Mikaeli, na Meshulamu, na Sheba, na Yorai, na Yakani, na Zia, na Eberi, watu saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zao kulingana na koo zao walikuwa saba: Mikaeli, Meshulamu, Sheba, Yorai, Yaakani, Zia na Eberi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zao wa milango ya baba zao: Mikaeli na Mesulamu na Seba na Yorai na Yakani na Zia na Eberi, watu saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu zao wa mbari za baba zao; Mikaeli, na Meshulamu, na Sheba, na Yorai, na Yakani, na Zia, na Eberi, watu saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu zao kulingana na ukoo zao walikuwa saba: Mikaili, Mesulamu, Seba, Yorai, Yakani, Zia na Eberi.