1 Chronicles 5:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahi, aliyekuwa mwana wa Abdieli na mjukuu wa Guni, alikuwa mkuu katika koo hizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahi mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa kiongozi wa jamaa yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ahi, mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa mkuu wa mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahi, aliyekuwa mwana wa Abdieli na mjukuu wa Guni, alikuwa mkuu katika koo hizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahi mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa ndiye kiongozi wa jamaa yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahi mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa ndiye kiongozi wa jamaa yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ahi, mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa mkuu wa koo za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahi, aliyekuwa mwana wa Abdieli na mjukuu wa Guni, alikuwa mkuu katika koo hizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahi, mwana wa Abudieli, mwana wa Guni, alikuwa mkuu wa milango ya baba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ahi, mwana wa Abdieli, mwana wa Guni, alikuwa mkuu wa mbari za baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahi, aliyekuwa mwana wa Abudieli na mujukuu wa Guni, alikuwa mukubwa katika ukoo hizi.