1 Chronicles 5:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipigana vita na makabila ya Wahajiri, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakapigana vita na Wahajiri; na Yeturi, na Nafishi, na Nodabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipigana vita na makabila ya Wahajiri, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipigana vita dhidi ya Wahagari, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakapigana vita na Wahajiri; na Yeturi, na Nafishi, na Nodabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipigana vita na makabila ya Wahajiri, Yeturi, Nafishi na Nodabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakapigana nao Wahagri nao Wayeturi nao Wanafisi nao Wanodabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakapigana vita na Wahajiri; na Yeturi, na Nafishi, na Nodabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipigana vita na makabila ya Wahagari, Yeturi, Nafisi na Nodabu.