1 Chronicles 5:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa kabila la Yuda ndilo lililokuja kuwa lenye nguvu zaidi kuliko mengine, na watawala walitoka humo, haki ya mzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yosefu).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yusufu.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani Yuda ndiye aliyeshinda miongoni mwa nduguze, na kwake ndiko alikotoka mtawala; bali haki ile ya mzaliwa wa kwanza alipewa Yusufu);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa kabila la Yuda ndilo lililokuja kuwa lenye nguvu zaidi kuliko mengine, na watawala walitoka humo, haki ya mzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yosefu).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na kwamba mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yosefu.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yusufu.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingawa Yuda ndiye aliyekuzwa zaidi miongoni mwa nduguze, na kwake ndiko alikotoka mtawala; haki ile ya mzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yusufu);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa kabila la Yuda ndilo lililokuja kuwa lenye nguvu zaidi kuliko mengine, na watawala walitoka humo, haki ya mzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yosefu).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Yuda alikuwa mwenye nguvu katika ndugu zake, naye mtawalaji akatolewa kwake, lakini huo uzaliwa wa kwanza ulikuwa wake Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani Yuda ndiye aliyeshinda miongoni mwa nduguze, na kwake ndiko alikotoka mtawala; bali haki ile ya mzaliwa wa kwanza alipewa Yusufu);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa kabila la Yuda ndilo lililokuja kuwa lenye nguvu zaidi kuliko mengine, na watawala walitoka mule, haki ya muzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yosefu).