1 Chronicles 5:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia elfu hamsini, kondoo elfu mia mbili na hamsini, na punda elfu mbili. Pia wakateka watu elfu mia moja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakateka nyara ng'ombe zao, na ngamia zao hamsini elfu, na kondoo zao mia mbili na hamsini elfu, na punda zao elfu mbili; na watu mia elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walitwaa mifugo ya Wahagari: ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000. Pia wakateka watu 100,000,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakateka nyara ng'ombe wao, na ngamia wao elfu hamsini, na kondoo wao elfu mia mbili na hamsini, na punda wao elfu mbili; na watu elfu mia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliteka nyara ngamia 50,000, kondoo 250,000, punda 2,000 na mateka hai 100,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakayateka makundi yao: ngamia 50000, mbuzi na kondoo 250000 na punda 2000 na watu 100000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakateka nyara ng’ombe zao, na ngamia zao hamsini elfu, na kondoo zao mia mbili na hamsini elfu, na punda zao elfu mbili; na watu mia elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinyanganya ngamia elfu makumi tano, kondoo elfu mia mbili na makumi tano, punda elfu mbili na kuwapeleka watu elfu mia moja kuwa wafungwa.