1 Chronicles 5:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliua maadui wengi sana kwa sababu vita hivyo vilikuwa ni vita vya Mungu. Nao waliendelea kuishi katika nchi hiyo, mpaka wakati wa uhamisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wengine wengi waliuawa kwa sababu vita vilikuwa ni vya Mungu. Nao waliendelea kuikalia nchi hiyo hadi wakati wa uhamisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani wengi walianguka waliouawa, kwa sababu vita vile vilikuwa vya Mungu. Nao wakakaa badala yao hata wakati wa ule uhamisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliua maadui wengi sana kwa sababu vita hivyo vilikuwa ni vita vya Mungu. Nao waliendelea kuishi katika nchi hiyo, mpaka wakati wa uhamisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wengine wengi waliuawa kwa sababu vita vilikuwa ni vya Mungu. Nao waliendelea kuikalia nchi hiyo mpaka wakati wa uhamisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wengine wengi waliuawa kwa sababu vita vilikuwa ni vya Mungu. Nao waliendelea kuikalia nchi hiyo mpaka wakati wa uhamisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani walianguka wengi waliouawa, kwa sababu vita vile vilikuwa vya Mungu. Nao wakakaa katika nchi yao hadi wakati wa ule uhamisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliua maadui wengi sana kwa sababu vita hivyo vilikuwa ni vita vya Mungu. Nao waliendelea kuishi katika nchi hiyo, mpaka wakati wa uhamisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walioumizwa walianguka wengi, kwa kuwa vita hivyo vilikuwa vimetoka kwake Mungu, wakakaa mahali pao, mpaka walipotekwa na kuhamishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani wengi walianguka waliouawa, kwa sababu vita vile vilikuwa vya Mungu. Nao wakakaa badala yao hata wakati wa ule uhamisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaua waadui wengi sana kwa sababu vita hiyo ilikuwa ni vita ya Mungu. Nao waliendelea kuishi katika inchi ile, mpaka wakati wa uhamisho.