1 Chronicles 5:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Manase ya mashariki waliishi katika nchi ya Bashani. Idadi yao iliongezeka kwa wingi sana, wakasambaa upande wa kaskazini hadi Baal-hermoni, Seniri na mlima Hermoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani Seniri (ndio Mlima Hermoni).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa nusu-kabila ya Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Manase ya mashariki waliishi katika nchi ya Bashani. Idadi yao iliongezeka kwa wingi sana, wakasambaa upande wa kaskazini hadi Baal-hermoni, Seniri na mlima Hermoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani mpaka Seniri na mlima Hermoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya nusu ya kabila la Manase walikuwa wengi sana, Wakakaa kuanzia Bashani hadi Baal-Hermoni, yaani mpaka Seniri na mlima Hermoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa nusu kabila la Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Manase ya mashariki waliishi katika nchi ya Bashani. Idadi yao iliongezeka kwa wingi sana, wakasambaa upande wa kaskazini hadi Baal-hermoni, Seniri na mlima Hermoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa nusu ya shina la Manase walikaa katika nchi hiyo toka Basani mpaka Baali-Hermoni, tena mpaka Seniri na milimani kwa Hermoni, nao walikuwa wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa nusu-kabila ya Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nusu ya watu wa kabila la Manase waliishi katika inchi ya Basani. Hesabu yao iliongezeka kwa wingi sana, wakasambaa upande wa kaskazini mpaka Bali-Hermoni, Seniri na mulima Hermoni.