1 Chronicles 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa Henoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa Henoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli walikuwa: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa Henoki, Palu, Hesroni na Karmi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Rubeni, mwana wa kwanza wa Isiraeli, walikuwa: Henoki na Palu, Hesironi na Karmi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Rubeni, muzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa: Hanoki, Palu, Hesironi na Karmi.