1 Chronicles 5:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa Yoeli toka kizazi hadi kizazi walikuwa Shemaya, Gogi, Shimei,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Yoeli walikuwa: Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe; Shimei mwanawe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Yoeli; mwanawe huyo ni Shemaya, na mwanawe huyo ni Gogu, na mwanawe huyo ni Shimei;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa Yoeli toka kizazi hadi kizazi walikuwa Shemaya, Gogi, Shimei,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Yoeli walikuwa: Shemaya mwanaye, Gogu mwanaye; Shimei mwanaye,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Yoeli walikuwa: Shemaya mwanawe, Gogu mwanawe; Shimei mwanawe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Yoeli; mwanawe huyo ni Shemaya, na mwanawe huyo ni Gogu, na mwanawe huyo ni Shimei;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa Yoeli toka kizazi hadi kizazi walikuwa Shemaya, Gogi, Shimei,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Yoeli: Mwanawe Semaya, mwanawe huyo Gogi, mwanawe huyo Simei,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Yoeli; mwanawe huyo ni Shemaya, na mwanawe huyo ni Gogu, na mwanawe huyo ni Shimei;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wa Yoeli toka kizazi mpaka kizazi kingine walikuwa: Semaya, Gogo, Simei,