1 Chronicles 5:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa koo zao kama ifuatavyo: Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nduguze kwa jamaa zao, hapo ilipohesabiwa nasaba ya vizazi vyao; mkuu wao, Yeieli, na Zekaria,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa kufuata koo zao kama ifuatavyo: Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jamaa zao kulingana na koo zao, walioorodheshwa kwa kufuata koo zao kama ifuatavyo: Yeieli aliyekuwa mkuu wao, Zekaria,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nduguze kwa jamaa zao, hapo ilipohesabiwa nasaba ya vizazi vyao; mkuu wao, Yeieli, na Zekaria,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wa koo wafuatao waliandikishwa katika orodha ya kumbukumbu ya kabila la Reubeni, Yeieli, Zekaria,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zake walioandikwa katika kitabu cha udugu wa koo zao hivyo, walivyofuatana kuzaliwa, mkuu ni Yieli, akafuata Zakaria,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nduguze kwa jamaa zao, hapo ilipohesabiwa nasaba ya vizazi vyao; mkuu wao, Yeieli, na Zekaria,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa ukoo hizi ndio walioandikwa katika kitabu cha vizazi vya kabila la Rubeni: Yeieli, Zekaria,