1 Chronicles 5:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bela, mwana wa Azazi na mjukuu wa Shema, wa ukoo wa Yoeli, uliokuwa ukiishi Aroeri na katika eneo lote la kaskazini hadi Bela na Baal-meoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bela mwana wa Azazi, mwana wa Shema, mwana wa Yoeli. Hao waliishi katika eneo lililoanzia Aroeri hadi Nebo na Baal-Meoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Shemaya, mwana wa Yoeli, aliyekaa huko Aroeri, hata kufika Nebo na Baal-meoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bela, mwana wa Azazi na mjukuu wa Shema, wa ukoo wa Yoeli, uliokuwa ukiishi Aroeri na katika eneo lote la kaskazini hadi Bela na Baal-meoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bela mwana wa Azazi, mwana wa Shema, mwana wa Yoeli. Hao waliishi katika eneo kuanzia Aroeri mpaka Nebo na Baal-Meoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bela mwana wa Azazi, mwana wa Shema, mwana wa Yoeli. Hao waliishi katika eneo kuanzia Aroeri mpaka Nebo na Baal-Meoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Shemaya, mwana wa Yoeli, aliyekaa huko Aroeri, hadi Nebo na Baal-meoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bela, mwana wa Azazi na mjukuu wa Shema, wa ukoo wa Yoeli, uliokuwa ukiishi Aroeri na katika eneo lote la kaskazini hadi Bela na Baal-meoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Sema, mwana wa Yoeli. Huyu Bela alikaa Aroeri mpaka Nebo na Baali-Meoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Bela, mwana wa Azazi, mwana wa Shemaya, mwana wa Yoeli, aliyekaa huko Aroeri, hata kufika Nebo na Baal-meoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bela mwana wa Ahazi na mujukuu wa Sema, wa ukoo wa Yoeli, uliokuwa ukiishi Aroeri na katika eneo lote la upande wa kaskazini mpaka Nebo na Bali-Meoni.