1 Chronicles 6:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Sulemani huko Yerusalemu),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yohana akamzaa Azaria (ndiye huyo aliyefanya kazi ya ukuhani katika nyumba aliyoijenga Sulemani huko Yerusalemu)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohanani akamzaa Azaria (ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Solomoni huko Yerusalemu),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Sulemani huko Yerusalemu),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yohana akamzaa Azaria (ndiye huyo aliyefanya kazi ya ukuhani katika nyumba aliyoijenga Sulemani huko Yerusalemu)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yohana akamzaa Azaria; huyu ndiye aliyekuwa mtambikaji katika Nyumba hiyo, Salomo aliyoijenga Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yohana akamzaa Azaria (ndiye huyo aliyefanya kazi ya ukuhani katika nyumba aliyoijenga Sulemani huko Yerusalemu)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elekana alizaa Amasai na Ahimoti. Ahimoti alizaa Elekana, Elekana alizaa Zofai, Zofai alizaa Nahati, Nahati alizaa Eliabu, Eliabu alizaa Yerohamu, Yerohamu alizaa Elkana. Wana wa Samweli walikuwa wawili: Yoeli, muzaliwa wake wa kwanza, na Abiya, mudogo wake.