1 Chronicles 6:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Azaria alimzaa Seraya, Seraya alimzaa Yehosadaki;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Azaria akamzaa Seraya; na Seraya akamzaa Yehosadaki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Azaria alimzaa Seraya, Seraya alimzaa Yehosadaki;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Azaria akamzaa Seraya, Seraya akamzaa Yehosadaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Azaria akamzaa Seraya; na Seraya akamzaa Yehosadaki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Azaria alimzaa Seraya, Seraya alimzaa Yehosadaki;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Azaria akamzaa Seraya, naye Seraya akamzaa Yosadaki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Azaria akamzaa Seraya; na Seraya akamzaa Yehosadaki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uzao wa Merari: Merari alizaa Mali, Mali alizaa Libuni, Libuni alizaa Simei, Simei alizaa Uza, Uza alizaa Simea, Simea alizaa Hagia, Hagia alizaa Asaya.