1 Chronicles 6:15 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehosadaki alikwenda uhamishoni wakati Mwenyezi-Mungu alipowapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa kuutumia mkono wa mfalme Nebukadneza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehosadaki alihamishwa wakati Mwenyezi Mungu aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yehosadaki akachukuliwa mateka, hapo Bwana alipowachukua mateka Yuda na Yerusalemu, kwa mkono wa Nebukadreza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehosadaki alikwenda uhamishoni wakati Mwenyezi-Mungu alipowapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa kuutumia mkono wa mfalme Nebukadneza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehosadaki alihamishwa wakati BWANA alipowapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehosadaki alihamishwa wakati bwana aliwapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Mfalme Nebukadneza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yehosadaki akachukuliwa mateka, hapo BWANA alipowachukua mateka Yuda na Yerusalemu, kwa mkono wa Nebukadneza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehosadaki alikwenda uhamishoni wakati Mwenyezi-Mungu alipowapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa kuutumia mkono wa mfalme Nebukadneza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yosadaki ndiye aliyekwenda nao Wayuda na Wayerusalemu, Bwana alipowahamisha kwa mkono wa Nebukadinesari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yehosadaki akachukuliwa mateka, hapo BWANA alipowachukua mateka Yuda na Yerusalemu, kwa mkono wa Nebukadreza.