1 Chronicles 6:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lawi alikuwa na wana watatu: Gershomu, Kohathi na Merari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Lawi; Gershoni, na Kohathi, na Merari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lawi alikuwa na wana watatu: Gershomu, Kohathi na Merari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Lawi walikuwa: Gershoni, Kohathi na Merari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Lawi; Gershoni, na Kohathi, na Merari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lawi alikuwa na wana watatu: Gershomu, Kohathi na Merari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Lawi: Gersomu, Kehati na Merari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Lawi; Gershoni, na Kohathi, na Merari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio watu ambao mufalme Daudi aliweka kwa kazi ya kuimba katika nyumba ya Yawe, nyuma ya kuwekwa kwa Sanduku la Agano ndani yake.