1 Chronicles 6:19 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi wakiorodheshwa kufuatana na baba zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, sawasawa na mbari za baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, kulingana na koo za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Merari aliwazaa Mahli na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kulingana na koo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Merari: Mahali na Musi; huu ndio ukoo wao Walawi kwa milango ya baba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, sawasawa na mbari za baba zao.