1 Chronicles 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kehati: Amuramu, Isihari na Heburoni na Uzieli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kohathi; Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Gersoni walikuwa: Libuni na Simei. Wana wa Kohati walikuwa: