1 Chronicles 6:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Usia, Usia akamzaa Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Uzia, Uzia akamzaa Shauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Urieli, na mwanawe huyo ni Uzia, na mwanawe huyo ni Shauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Usia, Usia akamzaa Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Usia, Usia akamzaa Shauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Uzia, Uzia akamzaa Shauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Urieli, na mwanawe huyo ni Uzia, na mwanawe huyo ni Shauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asiri akamzaa Tahathi, Tahathi akamzaa Urieli, Urieli akamzaa Usia, Usia akamzaa Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mwanawe huyo Tahati, mwanawe huyo Urieli, mwanawe huyo Uzia, mwanawe huyo Sauli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Urieli, na mwanawe huyo ni Uzia, na mwanawe huyo ni Shauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asafu, ndugu ya Hemani alikuwa kwa upande wake wa kuume. Asafu alikuwa mwana wa Berekia, Berekia wa Simea, Simea wa Mikaeli, Mikaeli wa Basea, Basea wa Malkia, Malkia wa Etini, Etini wa Zera, Zera wa Adaya, Adaya wa Etani, Etani wa Zima, Zima wa Simei, Simei wa Yahati, Yahati wa Gersoni, Gersoni wa Lawi.