1 Chronicles 6:25 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Elkana walikuwa wawili: Amasai na Ahimothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Elkana walikuwa: Amasai na Ahimothi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Elkana; Amasai, na Ahimothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Elkana walikuwa wawili: Amasai na Ahimothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Elikana walikuwa: Amasia na Ahimothi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Elikana walikuwa: Amasai na Ahimothi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Elkana; Amasai, na Ahimothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Elkana walikuwa wawili: Amasai na Ahimothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Elkana: Amasai na Ahimoti;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Elkana; Amasai, na Ahimothi.