1 Chronicles 6:28 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Samueli walikuwa wawili: Yoeli, mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya, mdogo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya mwanawe wa pili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Samweli; Yoeli, mzaliwa wa kwanza, na wa pili Abia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Samueli walikuwa wawili: Yoeli, mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya, mdogo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza na Abiya mwanawe wa pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Samweli walikuwa: Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya mwanawe wa pili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Samweli; Yoeli, mzaliwa wa kwanza, na wa pili Abia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Samueli walikuwa wawili: Yoeli, mzaliwa wake wa kwanza, na Abiya, mdogo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Samweli: Mzaliwa wa kwanza (Yoeli), tena wa pili Abia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Samweli; Yoeli, mzaliwa wa kwanza, na wa pili Abia.