1 Chronicles 6:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amramu alikuwa na wana wawili: Aroni na Mose, na binti mmoja jina lake Miriamu. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amramu alikuwa na wana: Haruni, Musa, na Miriamu. Haruni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amramu alikuwa na wana wawili: Aroni na Mose, na binti mmoja jina lake Miriamu. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amramu alikuwa na wana: Aroni, Mose, na Miriamu. Aroni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eliyazari na Ithamari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amramu alikuwa na wana: Haruni, Musa, na Miriamu. Haruni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amramu alikuwa na wana wawili: Aroni na Mose, na binti mmoja jina lake Miriamu. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Amuramu: Haroni na Mose na Miriamu; nao wana wa Haroni: Nadabu na Abihu, Elazari na Itamari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Amramu; Haruni, na Musa, na Miriamu. Na wana wa Haruni; Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amuramu, Izihari, Hebroni na Usieli. Wana wa Merari walikuwa: