1 Chronicles 6:31 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio watu ambao mfalme Daudi aliwaweka wahudumu kama waimbaji katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, baada ya sanduku la agano kuwekwa ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio watu ambao Daudi aliwaweka kuwa viongozi wa uimbaji katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, baada ya Sanduku la Agano kuletwa ili kukaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio watu aliowaweka Daudi juu ya kazi ya kuimba katika nyumba ya Bwana, sanduku lile lilipokwisha pata mahali pa kustarehe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio watu ambao mfalme Daudi aliwaweka wahudumu kama waimbaji katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, baada ya sanduku la agano kuwekwa ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio watu ambao Daudi aliwaweka kuwa viongozi wa uimbaji katika nyumba ya BWANA baada ya Sanduku la Agano kuletwa ili kukaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio watu ambao Daudi aliwaweka kuwa viongozi wa uimbaji katika nyumba ya bwana, baada ya Sanduku la Agano kuletwa ili kukaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio watu aliowaweka Daudi kwenye kazi ya kuimba katika nyumba ya BWANA, sanduku lile lilipopata mahali pa kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio watu ambao mfalme Daudi aliwaweka wahudumu kama waimbaji katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, baada ya sanduku la agano kuwekwa ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio, Dawidi aliowaweka kwa ajili ya kuimba Nyumbani mwa Bwana, lile Sanduku lilipokuwa limekwisha kutua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio watu aliowaweka Daudi juu ya kazi ya kuimba katika nyumba ya BWANA, sanduku lile lilipokwisha pata mahali pa kustarehe.