1 Chronicles 6:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asafu, ndugu yake alikuwa upande wake wa kulia. Ukoo wake kutokana na Lawi: Asafu, mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kuume, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asafu, ndugu yake alikuwa upande wake wa kulia. Ukoo wake kutokana na Lawi: Asafu, mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kulia, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asafu, ndugu yake alikuwa upande wake wa kulia. Ukoo wake kutokana na Lawi: Asafu, mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye ndugu yake Asafu alisimama kuumeni kwake; Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Simea,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kuume, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huu ndio urizi wao kulingana na mipaka yake: wazao wa Haruni katika jamaa ya Wakohati kulingana na kura yao,