1 Chronicles 6:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ethani wa ukoo wa Merari, alikuwa kiongozi wa kundi la tatu la waimbaji. Ukoo wake kutokana na Lawi ni kama ifuatavyo: Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upande wa kushoto ndugu zao, wana wa Merari; Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ethani wa ukoo wa Merari, alikuwa kiongozi wa kundi la tatu la waimbaji. Ukoo wake kutokana na Lawi ni kama ifuatavyo: Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto ni: Elthani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upande wa kushoto ndugu zao, wana wa Merari; Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ethani wa ukoo wa Merari, alikuwa kiongozi wa kundi la tatu la waimbaji. Ukoo wake kutokana na Lawi ni kama ifuatavyo: Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kushotoni walisimama ndugu zao wana wa Merari: Etani, mwana wa Kisi, mwana wa Abudi, mwana wa Maluki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upande wa kushoto ndugu zao, wana wa Merari; Ethani, mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asani na Beti-Semesi pamoja na mashamba yake ya malisho.