1 Chronicles 6:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni: Aroni alimzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wazao wa Haruni: Haruni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio wana wa Haruni; mwanawe huyo ni Eleazari, na mwanawe huyo ni Finehasi, na mwanawe huyo ni Abishua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni: Aroni alimzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni: Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Haruni: Haruni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio wana wa Haruni; mwanawe huyo ni Eleazari, na mwanawe huyo ni Finehasi, na mwanawe huyo ni Abishua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni: Aroni alimzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wana wa Aroni: Mwanawe Elazari, mwanawe huyo Pinehasi, mwanawe huyo Abisua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio wana wa Haruni; mwanawe huyo ni Eleazari, na mwanawe huyo ni Finehasi, na mwanawe huyo ni Abishua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benjamina iligawanyiwa kwa kabila la Lawi kwa kura.)