1 Chronicles 6:54 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: Wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Haruni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi haya ndiyo makao yao, sawasawa na marago yao mipakani mwao; wana wa Haruni, katika jamaa za Wakohathi; kwani walikuwa na kura ya kwanza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao. (Walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Haruni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi haya ndiyo makao yao, kwa kufuata mipaka ya kambi zao; wana wa Haruni, katika jamaa za Wakohathi; kwani walikuwa na kura ya kwanza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yafuatayo ndiyo makazi yao kulingana na mipaka yake: Wazawa wa Aroni katika jamaa ya Wakohathi kulingana na kura yao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo makao yao, walikotua katika mipaka yao: miongoni mwao wana wa Haroni ukoo wao Wakehati walipatwa na kura ya kwanza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi haya ndiyo makao yao, sawasawa na marago yao mipakani mwao; wana wa Haruni, katika jamaa za Wakohathi; kwani walikuwa na kura ya kwanza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ayaloni pamoja na mashamba yake ya malisho, na Gati-Rimoni pamoja na mashamba yake ya malisho.