1 Chronicles 6:55 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na maeneo ya malisho yanayouzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakapewa Hebroni, katika nchi ya Yuda, na vijiji vyake vilivyouzunguka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakapewa Hebroni, katika nchi ya Yuda, na vijiji vyake vilivyouzunguka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hao walipewa mji wa Hebroni katika nchi ya Yuda na malisho kandokando yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo wakawapa Heburoni katika nchi ya Yuda pamoja na malisho yake yaliyouzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakapewa Hebroni, katika nchi ya Yuda, na vijiji vyake vilivyouzunguka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika nusu ya kabila la Manase walipewa miji ya Aneri pamoja na mashamba yake ya malisho, na Bileamu pamoja na mashamba yake ya malisho. Hii ndiyo miji iliyopewa kwa jamaa za ukoo wa Kohati.