1 Chronicles 6:59 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ashani na Beth-shemeshi pamoja na malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Ashani pamoja na viunga vyake, na Beth-shemeshi pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ashani na Beth-shemeshi pamoja na malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Ashani pamoja na viunga vyake, na Beth-shemeshi pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ashani na Beth-shemeshi pamoja na malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Asani pamoja na malisho yake na Beti-Semesi pamoja na malisho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Ashani pamoja na viunga vyake, na Beth-shemeshi pamoja na viunga vyake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kabila la Aseri walipewa: Masali pamoja na mashamba yake ya malisho, Abudoni pamoja na mashamba yake ya malisho,