1 Chronicles 6:64 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa njia hii watu wa Israeli waliwapa Walawi miji ili waishi humo pamoja na malisho ya miji hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Israeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na viunga vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa njia hii watu wa Israeli waliwapa Walawi miji ili waishi humo pamoja na malisho ya miji hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Israeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na viunga vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa njia hii watu wa Israeli waliwapa Walawi miji ili waishi humo pamoja na malisho ya miji hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, wana wa Isiraeli walivyowapa Walawi hiyo miji pamoja na malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Israeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na viunga vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kedemoti pamoja na mashamba yake ya malisho na Mefati pamoja na mashamba yake ya malisho.