1 Chronicles 6:65 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wakawapa kwa kura miji hiyo iliyotajwa majina yake, katika kabila ya wana wa Yuda, na katika kabila ya wana wa Simeoni, na katika kabila ya wana wa Benyamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wakawapa kwa kura miji hiyo iliyotajwa majina yake, katika kabila la wana wa Yuda, na katika kabila la wana wa Simeoni, na katika kabila la wana wa Benyamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawapa kwa kuipigia kura ile miji, iliyotajwa majina yao katika shina la wana wa Yuda na katika shina la wana wa Simeoni na katika shina la wana wa Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wakawapa kwa kura miji hiyo iliyotajwa majina yake, katika kabila ya wana wa Yuda, na katika kabila ya wana wa Simeoni, na katika kabila ya wana wa Benyamini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kabila la Gadi walipewa Ramoti katika Gileadi pamoja na malisho yake, Mahanaimu pamoja na mashamba yake ya malisho,