1 Chronicles 6:67 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shekemu, mji wa makimbilio katika nchi ya milima ya Efraimu pamoja na malisho yake, Gezeri pamoja na malisho yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nchi ya vilima ya Efraimu, walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakapewa miji ya kukimbilia, yaani, Shekemu pamoja na viunga vyake katika nchi ya milima milima ya Efraimu; na Gezeri pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shekemu, mji wa makimbilio katika nchi ya milima ya Efraimu pamoja na malisho yake, Gezeri pamoja na malisho yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakapewa miji ya kukimbilia, yaani, Shekemu pamoja na viunga vyake katika nchi ya milima milima ya Efraimu; na Gezeri pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shekemu, mji wa makimbilio katika nchi ya milima ya Efraimu pamoja na malisho yake, Gezeri pamoja na malisho yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawapa miji ya kukimbilia ya Sikemu pamoja na malisho yake milimani kwa Efuraimu, tena Gezeri pamoja na malisho yake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)