1 Chronicles 6:69 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aiyaloni pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aiyaloni pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aiyaloni pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Ayaloni pamoja na malisho yake na Gati-Rimoni pamoja na malisho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;