1 Chronicles 6:70 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika nusu ya kabila la Manase walipewa miji ya Aneri pamoja na malisho yake, na Bileamu pamoja na malisho yake. Hii ndiyo miji iliyopewa jamaa za ukoo wa Kohathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika nusu-kabila ya Manase; Taanaki pamoja na viunga vyake, na Ibleamu pamoja na viunga vyake; kwa mabaki ya jamaa ya wana wa Kohathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika nusu ya kabila la Manase walipewa miji ya Aneri pamoja na malisho yake, na Bileamu pamoja na malisho yake. Hii ndiyo miji iliyopewa jamaa za ukoo wa Kohathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki wa miji ya Eneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika nusu kabila ya Manase; Taanaki pamoja na viunga vyake, na Ibleamu pamoja na viunga vyake; kwa mabaki ya jamaa ya wana wa Kohathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika nusu ya kabila la Manase walipewa miji ya Aneri pamoja na malisho yake, na Bileamu pamoja na malisho yake. Hii ndiyo miji iliyopewa jamaa za ukoo wa Kohathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena katika nusu ya shina la Manase Aneri pamoja na malisho yake na Bileamu pamoja na malisho yake. Hii ilikuwa yao wengine wa ukoo wa wana wa Kehati waliosalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika nusu-kabila ya Manase; Taanaki pamoja na viunga vyake, na Ibleamu pamoja na viunga vyake; kwa mabaki ya jamaa ya wana wa Kohathi.