1 Chronicles 6:73 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ramothi pamoja na malisho yake na Anemu pamoja na malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ramothi na Anemu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Remethi pamoja na viunga vyake, na En-gaminu pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ramothi pamoja na malisho yake na Anemu pamoja na malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ramoth na Anemu, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ramothi na Anemu, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Remethi pamoja na viunga vyake, na En-gaminu pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ramothi pamoja na malisho yake na Anemu pamoja na malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Ramoti pamoja na malisho yake na Anemu pamoja na malisho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Remethi pamoja na viunga vyake, na En-gaminu pamoja na viunga vyake;