1 Chronicles 6:74 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kabila la Asheri walipewa: Mashali pamoja na malisho yake, Abdoni pamoja na malisho yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kabila la Asheri, walipokea Mashali, Abdoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika kabila ya Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kabila la Asheri walipewa: Mashali pamoja na malisho yake, Abdoni pamoja na malisho yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kabila la Asheri walipokea Mashali, Abdoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kabila la Asheri walipokea Mashali, Abdoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika kabila la Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kabila la Asheri walipewa: Mashali pamoja na malisho yake, Abdoni pamoja na malisho yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena katika shina la Aseri: Masali pamoja na malisho yake na Abudoni pamoja na malisho yake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika kabila ya Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;