1 Chronicles 6:78 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kabila la Reubeni, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko, walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ng'ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila ya Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kabila la Reubeni, ng'ambo ya Yordani mashariki ya Yeriko walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahsa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kabila la Reubeni, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko walipokea Bezeri ulioko jangwani, Yahasa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ng'ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila la Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kabila la Reubeni, mashariki ya mto Yordani karibu na mji wa Yeriko walipewa Bezeri ulioko katika nyanda za juu pamoja na malisho yake, Yahasa pamoja na malisho yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ng'ambo ya pili ya Yordani kuelekea Yeriko upande wa Yordani wa maawioni kwa jua katika shina la Rubeni: Beseri wa nyikani pamoja na malisho yake na Yasa pamoja na malisho yake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ng’ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila ya Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,