1 Chronicles 6:80 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kabila la Gadi walipewa Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, Mahanaimu pamoja na malisho yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kutoka kabila la Gadi, walipokea Ramothi huko Gileadi, Mahanaimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika kabila ya Gadi; Ramothi katika Gileadi pamoja na viunga vyake, na Mahanaimu pamoja na viunga vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kabila la Gadi walipewa Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, Mahanaimu pamoja na malisho yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kutoka kabila la Gadi walipokea Ramoth huko Gileadi, Mahanaimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kutoka kabila la Gadi walipokea Ramothi huko Gileadi, Mahanaimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika kabila la Gadi; Ramothi katika Gileadi pamoja na viunga vyake, na Mahanaimu pamoja na viunga vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kabila la Gadi walipewa Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, Mahanaimu pamoja na malisho yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena katika shina la Gadi: Ramoti wa Gileadi pamoja na malisho yake na Mahanaimu pamoja na malisho yake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika kabila ya Gadi; Ramothi katika Gileadi pamoja na viunga vyake, na Mahanaimu pamoja na viunga vyake;