1 Chronicles 6:81 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heshboni pamoja na malisho yake na Yazeri pamoja na malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heshboni na Yazeri, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Heshboni pamoja na viunga vyake, na Yazeri pamoja na viunga vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heshboni pamoja na malisho yake na Yazeri pamoja na malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heshboni na Yezeri pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heshboni na Yazeri, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Heshboni pamoja na viunga vyake, na Yazeri pamoja na viunga vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heshboni pamoja na malisho yake na Yazeri pamoja na malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Hesiboni pamoja na malisho yake na Yazeri pamoja na malisho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Heshboni pamoja na viunga vyake, na Yazeri pamoja na viunga vyake.