1 Chronicles 7:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yediaeli alikuwa na mwana mmoja, jina lake Bilhani. Bilhani alikuwa na wana: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Yediaeli alikuwa: Bilhani. Wana wa Bilhani walikuwa: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yediaeli; Bilhani; na wana wa Bilhani; Yeushi, na Benyamini, na Ehudi, na Kenaana, na Zethani, na Tarshishi, na Ahishahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yediaeli alikuwa na mwana mmoja, jina lake Bilhani. Bilhani alikuwa na wana: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Yadiaeli alikuwa: Bilhani. Wana wa Bilhani walikuwa: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana. Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Yediaeli alikuwa: Bilhani. Wana wa Bilhani walikuwa: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yediaeli; Bilhani; na wana wa Bilhani; Yeushi, na Benyamini, na Ehudi, na Kenaana, na Zethani, na Tarshishi, na Ahishahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yediaeli alikuwa na mwana mmoja, jina lake Bilhani. Bilhani alikuwa na wana: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yediaeli: Bilihani, nao wana wa Bilihani: Yeusi na Benyamini na Ehudi na Kanaana na Zetani na Tarsisi na Ahisahari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yediaeli; Bilhani; na wana wa Bilhani; Yeushi, na Benyamini, na Ehudi, na Kenaana, na Zethani, na Tarshishi, na Ahishahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wa Yediaeli alikuwa: Bilihani. Wana wa Bilihani walikuwa: Yeusi, Benjamina, Ehudu, Kenana, Zetani, Tarsisi na Ahisahari.