1 Chronicles 7:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naftali alikuwa na wana wanne: Yaasieli, Guni, Yereri na Shalumu. Hao walikuwa wazawa wa Bilha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Naftali walikuwa: Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yeseri, na Shilemu; wana wa Bilha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naftali alikuwa na wana wanne: Yaasieli, Guni, Yereri na Shalumu. Hao walikuwa wazawa wa Bilha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Naftali walikuwa: Yahzieli, Guni, Yezeri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Naftali walikuwa: Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yeseri, na Shalumu; wana wa Bilha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naftali alikuwa na wana wanne: Yaasieli, Guni, Yereri na Shalumu. Hao walikuwa wazawa wa Bilha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Nafutali: Yasieli na Guni na Yeseri na Salumu, ndio wana wa Biliha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Naftali; Yaseeli, na Guni, na Yeseri, na Shilemu; wana wa Bilha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nafutali alikuwa na wana wane: Yazieli, Guni, Yereri na Salumu. Hao walikuwa wazao wa Biliha.