1 Chronicles 7:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maaka mkewe Makiri, alizaa mwana jina lake Pereshi. Jina la nduguye Pereshi lilikuwa Shereshi. Wanawe Shereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Maaka mkewe Makiri, akamzalia mwana, akamwita jina lake Pereshi; na jina la nduguye aliitwa Shereshi; na wanawe walikuwa Ulamu, na Rakemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maaka mkewe Makiri, alizaa mwana jina lake Pereshi. Jina la nduguye Pereshi lilikuwa Shereshi. Wanawe Shereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Maaka mkewe Makiri, akamzalia mwana, akamwita jina lake Pereshi; na jina la nduguye aliitwa Shereshi; na wanawe walikuwa Ulamu, na Rakemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maaka mkewe Makiri, alizaa mwana jina lake Pereshi. Jina la nduguye Pereshi lilikuwa Shereshi. Wanawe Shereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Maka, mkewe Makiri, akazaa mwana wa kiume, akamwita jina lake Peresi, nalo jina la ndugu yake lilikuwa Seresi, nao wanawe ni Ulamu na Rekemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Maaka mkewe Makiri, akamzalia mwana, akamwita jina lake Pereshi; na jina la nduguye aliitwa Shereshi; na wanawe walikuwa Ulamu, na Rakemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maka muke wa Makiri, alizaa mwana jina lake Peresi. Jina la ndugu ya Peresi lilikuwa Seresi. Wana wa Seresi walikuwa Ulamu na Rakemu.