1 Chronicles 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rakemu alimzaa Bedani. Hawa wote ni wazawa wa Gileadi, mwana wa Makiri, mjukuu wa Manase.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hao walikuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Ulamu; Bedani. Hao ndio wana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rakemu alimzaa Bedani. Hawa wote ni wazawa wa Gileadi, mwana wa Makiri, mjukuu wa Manase.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Ulamu; Bedani. Hao ndio wana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rakemu alimzaa Bedani. Hawa wote ni wazawa wa Gileadi, mwana wa Makiri, mjukuu wa Manase.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Ulamu: Bedani. Hawa ndio wana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Ulamu; Bedani. Hao ndio wana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rakemu alizaa Bedani. Hawa wote ni wazao wa Gileadi, mwana wa Makiri, mujukuu wa Manase.