1 Chronicles 7:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio wazawa wa Efraimu kutoka kizazi hadi kizazi: Shuthela, Beredi, Tahathi, Eleada, Tahathi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Efraimu walikuwa: Shuthela, ambaye alimzaa Beredi, Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada, Eleada akamzaa Tahathi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio wazawa wa Efraimu kutoka kizazi hadi kizazi: Shuthela, Beredi, Tahathi, Eleada, Tahathi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Efraimu walikuwa: Shuthela, ambaye alimzaa Beredi, Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada, Eleada akamzaa Tahathi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Efraimu walikuwa: Shuthela, ambaye alimzaa Beredi, Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada, Eleada akamzaa Tahathi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio wazawa wa Efraimu kutoka kizazi hadi kizazi: Shuthela, Beredi, Tahathi, Eleada, Tahathi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Efuraimu: Sutela, na mwanawe huyo Beredi, na mwanawe huyo Tahati, na mwanawe huyo Elada, na mwanawe huyo Tahati,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wazao wa Efuraimu: Sutela alizaa Beredi, Beredi alizaa Tahati, Tahati alizaa Eleada, Eleada alizaa Tohati, Tohati alizaa Zabadi, Zabadi alizaa Sutela. Zaidi ya hao, Efuraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa inchi ya Gati kwa sababu walikwenda kule kuwanyanganya ngombe zao.