1 Chronicles 7:21 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyanganya mifugo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eladi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wameenda huko kuwanyang’anya mifugo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuzipokonya ng'ombe zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyang'anya mifugo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eliyadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyang'anya mifugo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eleadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyang’anya mifugo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuwapokonya ng'ombe wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyanganya mifugo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na mwanawe huyo Zabadi, na mwanawe huyo Sutela, tena Ezeri na Eladi. Lakini wana wa Gati waliozaliwa katika nchi ile wakawaua, kwa kuwa walishuka kuyachukua makundi yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuzipokonya ng’ombe zao.