1 Chronicles 7:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Efraimu baba yao aliomboleza vifo vyao kwa siku nyingi sana, na ndugu zake wakaja kumfariji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi, na jamaa zake wakaja kumfariji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Efraimu, baba yao, akaomboleza siku nyingi, wakaja nduguze ili kumfariji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Efraimu baba yao aliomboleza vifo vyao kwa siku nyingi sana, na ndugu zake wakaja kumfariji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi na jamaa zake wakaja kumfariji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi, na jamaa zake wakaja kumfariji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Efraimu, baba yao, akaomboleza siku nyingi, wakaja nduguze ili kumfariji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Efraimu baba yao aliomboleza vifo vyao kwa siku nyingi sana, na ndugu zake wakaja kumfariji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yao Efuraimu akawasikitikia siku nyingi, nao ndugu zake wakaja kumtuliza moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Efraimu, baba yao, akaomboleza siku nyingi, wakaja nduguze ili kumfariji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Efuraimu baba yao aliomboleza vifo vyao kwa siku nyingi sana, na wandugu zake wakakuja kumufariji.