1 Chronicles 7:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita jina Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwingilia mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu mna mabaya nyumbani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamjua mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu maafa yalikuwa yameipata nyumba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Efraimu akalala na mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana. Efraimu akampa jina Beria, kwa sababu ya maafa yaliyoipata jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaingia kwake mkewe, akapata mimba, akazaa mwana wa kiume, akamwita jina lake Beria, kwa kuwa mambo mabaya yalikuwa nyumbani mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwingilia mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu mna mabaya nyumbani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Efuraimu akalala na muke wake, naye akapata mimba na kuzaa mwana. Efuraimu akamupa jina la Beria, kwa sababu ya magumu yaliyopata jamaa yake.