1 Chronicles 7:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Efraimu alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliyeijenga miji ya Beth-horoni ya juu na chini, na Uzen-sheera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na binti yake alikuwa Sheera, ambaye alijenga Beth-horoni, wa chini na wa juu, na Uzen-sheera.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Efraimu alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliyeijenga miji ya Beth-horoni ya juu na chini, na Uzen-sheera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliyeijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na binti yake alikuwa Sheera, ambaye alijenga Beth-horoni, wa chini na wa juu, na Uzen-sheera.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Efraimu alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliyeijenga miji ya Beth-horoni ya juu na chini, na Uzen-sheera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanawe wa kike ni Sera, ndiye aliyejenga Beti-Horoni wa chini na wa juu, tena Uzeni-Sera.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na binti yake alikuwa Sheera, ambaye alijenga Beth-horoni, wa chini na wa juu, na Uzen-sheera.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Efuraimu alikuwa na binti jina lake Sera. Huyu ndiye aliyejenga miji ya Beti- Horoni ya juu na ya chini, na Uzeni-Sera.