1 Chronicles 7:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Efraimu alimzaa pia Refa ambaye alimzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanawe ni Refa, na Reshefu, na mwanawe huyo ni Tela, na mwanawe huyo ni Tahani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Efraimu alimzaa pia Refa ambaye alimzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanawe ni Refa, na Reshefu, na mwanawe huyo ni Tela, na mwanawe huyo ni Tahani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Efraimu alimzaa pia Refa ambaye alimzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanawe ni Refa na Resefu, na mwanawe huyo Tela, na mwanawe huyo Tahani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanawe ni Refa, na Reshefu, na mwanawe huyo ni Tela, na mwanawe huyo ni Tahani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Efuraimu alizaa vilevile Refa, Refa alizaa Resefi, Resefi alizaa Tela, Tela alizaa Tahani, Tahani alizaa Ladani, Ladani alizaa Amihudi, Amihudi alizaa Elisama, Elisama alizaa Nuni, Nuni alizaa Yoshua.